Thursday, November 6, 2014

WANAFUNZI WAKIWA WANAFUATILIA KWA MAKINI MECHI ILIYO KUWA IKIENDELA KATI YA FORM II VS V PCM na hatimaye mwisho wa mchezo form II wakaibuka washindi na kujinyakulia pointi 3 Muhimu.Hongera sana
MOJA YA MAFANIKIO YA BINADAMU NI PALE ANAPO KIPENDA KILE ANACHO KIFANYA NA KUKIHESHIMU.HUYU NI MOJA YA KIJANA WA KIDATO CHA (I) AMBAYE AMEONYESHA UWEZO MKUBWA SANA GOLINI TANGU LIGI ILIPO AZA PONGEZI SANA NA USIBWETEKE NA HUSIANISHA MICHEZO+MASOMO.
                                                     BEST WISHES
                                     www.kyelahighschool.blogspot.com
TUNAJIVUNIA KWA KUWA SISI NI BORA NA VIPAJI KILA AINA PAMOJA NA NIDHAMU ILIYO JITOSHELEZA NDANI NA NJE YA VIWANJA VYA MICHEZO
HUYU NI MOJA WA WACHEZAJI WA KIDATO CHA PILI(JEZI NYEKUNDU)AKIWASUMBUA BEKI WA TIMU YA KIDATO CHA TANO PCM.
TUNAAMINI KATIKA FALSAFA YETU YA KIMICHEZO ISEMAYO ''MWILI USIO NA MAZOEZI NI NYUMBA YA SHETANI''.UONGOZI MZIMA WA SHULE UNAWATAKIA MAFANIKIO MEMA KATIKA USHIRIKI WENU WA LIGI YA MADARASA INAYO ENDELA.
Picture By.Kyela High School(KTV)
Focus 125m/s
Location.Kyela High School ground
www.kyelahighschool.blogspot.com

Wednesday, November 5, 2014