Friday, November 13, 2015



                                             TAWALA ZA MIKOA NA SERIKARI ZA MITAA
                            HALMASHAURI YA WILAYA KYELA SHULE YA SEKONDARI KYELA
                       MKATABA WA KURUDI SHULE KWA WANAFUNZI WALIOLETA FUJO  28/10/2015
Mkataba huu ni kati ya…………………………………………………mwanafunzi na shule ya sekondari kyela  kuanzia NOV 2015-may 2017.
Masharti ya mkataba
1.Kulipa fidia ya shilingi 70,000 kwaajili ya uharibifu uliosababishwa na vurugu hizo weka kweye  ACCOUNT YA SHULE  NMB NO 6093500078 ,KYELA SECONDARY SCHOOL Hutapokelewa kama hujalipa fedha hiyo.
2.Ratiba ya chakula kubaki kama ilivyo.
3.Kufanya kazi zote za shule hususani kwenda mashineni, kukata kuni,kuchota maji, kumwagilia bustani, kufanya usafi bwenini na kuzunguka mazingirra ya shule na zozote zitakazojitokeza ambazo unaziita kero na  ulileta vurugu ili usifanye kazi hizo.
4. Miundo mbinu iliyopo  kuendelea kubaki kama ilivyo isipokuwa pale pesa ya kuboreshea itakapopatikana na sio kama ulivyoamuru.
5. kutokuwepo tv  kama ulivyoamuru
6. Kutoa maelezo kwa barua ya kuwakashifu walimu na mkuu wa shule ufike nayo.
7.Barua ya mzazi inayothibitisha kama alikupokea na alikaa na wewe kukuonya.  
8.Kosa lolote utakalofanya kuanzia tarehe ya mkataba huu litakufukuzisha shule.
9. kataba huu ukishajazwa na kusainiwa urejeshwe shuleni ukiwa umesainiwa na mwanafunzi, mzazi mkuu wa shule na bodi ya shule. ziandaliwe nakala saba(7) kwa wafuatao
10.Sheria na taratibu za shule zinatakiwa kufuatwa kikamilifu
    Katibu tawala mkoa, mkurugenzi mtendaji, mwenyekiti wa bodi, mkuu wa shule, mwalimu wa malezi  mzazi na mwanafunzi mwanafunzi.
TAFADHALI MUDA WA KURIPOTI SHULENI NI  KUANZIA SAA 7:30 ASUBUHI HADI SAA KUMI NA MOJA JIONI

JINA LA MWANAFUNZI                                      SAINI YA MWANAFUNZI                        TAREHE
…………………………………..                              …………………………………                       ………………….       

JINA LA MZAZI                                                     SAINI YA MZAZI                                       TAREHE
…………………………………                             ……………………………………                       ………………..
JINA LA MKUU WA SHULE                             SAINI YA MKUU WA SHULE                        TAREHE
………………………………..                             ………………………………………..                      ……………………
JINA LA MWENYEKITI WA BODI                SAINI YA MWENYEKITI WA BODI                  TAREHE                          
…………………………………………            …………………………………………                       ……………………….          

No comments:

Post a Comment