TAWALA
ZA MIKOA NA SERIKARI ZA MITAA
HALMASHAURI YA
WILAYA KYELA SHULE YA SEKONDARI KYELA
MKATABA WA KURUDI SHULE KWA WANAFUNZI WALIOLETA FUJO 28/10/2015
Mkataba huu ni kati ya…………………………………………………mwanafunzi na
shule ya sekondari kyela kuanzia NOV
2015-may 2017.
Masharti
ya mkataba
1.Kulipa
fidia ya shilingi 70,000 kwaajili ya uharibifu uliosababishwa na vurugu hizo
weka kweye ACCOUNT YA SHULE NMB
NO 6093500078 ,KYELA SECONDARY SCHOOL Hutapokelewa kama hujalipa fedha
hiyo.
2.Ratiba
ya chakula kubaki kama ilivyo.
3.Kufanya
kazi zote za shule hususani kwenda mashineni, kukata kuni,kuchota maji,
kumwagilia bustani, kufanya usafi bwenini na kuzunguka mazingirra ya shule na
zozote zitakazojitokeza ambazo unaziita kero na
ulileta vurugu ili usifanye kazi hizo.
4.
Miundo mbinu iliyopo kuendelea kubaki
kama ilivyo isipokuwa pale pesa ya kuboreshea itakapopatikana na sio kama
ulivyoamuru.
5.
kutokuwepo tv kama ulivyoamuru
6.
Kutoa maelezo kwa barua ya kuwakashifu walimu na mkuu wa shule ufike nayo.
7.Barua
ya mzazi inayothibitisha kama alikupokea na alikaa na wewe kukuonya.
8.Kosa
lolote utakalofanya kuanzia tarehe ya mkataba huu litakufukuzisha shule.
9.
kataba huu ukishajazwa na kusainiwa urejeshwe shuleni ukiwa umesainiwa na
mwanafunzi, mzazi mkuu wa shule na bodi ya shule. ziandaliwe nakala saba(7) kwa
wafuatao
10.Sheria
na taratibu za shule zinatakiwa kufuatwa kikamilifu
Katibu tawala mkoa, mkurugenzi mtendaji,
mwenyekiti wa bodi, mkuu wa shule, mwalimu wa malezi mzazi na mwanafunzi mwanafunzi.
TAFADHALI
MUDA WA KURIPOTI SHULENI NI KUANZIA SAA
7:30 ASUBUHI HADI SAA KUMI NA MOJA JIONI
JINA
LA MWANAFUNZI SAINI YA
MWANAFUNZI TAREHE
…………………………………..
…………………………………
………………….
JINA
LA MZAZI
SAINI YA MZAZI TAREHE
…………………………………
……………………………………
………………..
JINA
LA MKUU WA SHULE
SAINI YA MKUU WA SHULE TAREHE
……………………………….. ……………………………………….. ……………………
JINA
LA MWENYEKITI WA BODI
SAINI YA MWENYEKITI WA BODI TAREHE
………………………………………… ………………………………………… ……………………….