Thursday, October 9, 2014
cP BY HAKI ELIMU-DAR-ES SALAM
DP BY.KYELA HIGH SCHOOL-MBEYA
www.kyelahighschool.co.tz
Sunday, October 5, 2014
PALE DEMOKRASIA IKIFUATWA NA KUTIMIZWA HAKUNA HATA MMOJA WAPO HUKOSA AMANI NA KUIJUTIA KURA YAKE ALIYO IPIGA KWA KIONGOZI AMABAYE HUONA ANAFAA KWAAJILI YA MANUFAA YAKE NA WATU WAMZUNGUKAO.ULIKUWA UCHAGUZI WA HAKI NA WAZI ULIOWAFANYA WANAFUNZI WOTE KUWANA NA FURAHA BAADA YA VIONGOZI WA NGAZI ZA JUU KUTANGAZWA TAR.03/10/2014.HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE WAKIWA NA TABASAMU...Karibu kyela High School
UCHAGUZI WA VIONGOZI KATIKA SERIKALI YA WANAFUNZI KYELA HIGH SCHOOL
ULIFANYIKA TAR:03/10/2014 AMBAPO WAGOMBEA WALICHUANA KATIKA NAFASI MABALI MBALI.KATIKA NAFASI YA KAKA MKUU WA SHULE NDG:Benjamin aliibuka kidedea kwa kuapata kura 820 na NDG.Deusdedith kura 247.TUNAWAPONGEZA WOTE WALIO SHIRIKI NA KUWATAKIA UTEKELEZAJI MWEMA WA YALE WALIYO WAHAIDI WANAFUNZI WA KYELA HIGH SCHOOL
Posted by:www.kyelahighschool.blogspot.com
Location.Kyela
Time:05:25 Pm

Subscribe to:
Posts (Atom)