Sunday, October 5, 2014
PALE DEMOKRASIA IKIFUATWA NA KUTIMIZWA HAKUNA HATA MMOJA WAPO HUKOSA AMANI NA KUIJUTIA KURA YAKE ALIYO IPIGA KWA KIONGOZI AMABAYE HUONA ANAFAA KWAAJILI YA MANUFAA YAKE NA WATU WAMZUNGUKAO.ULIKUWA UCHAGUZI WA HAKI NA WAZI ULIOWAFANYA WANAFUNZI WOTE KUWANA NA FURAHA BAADA YA VIONGOZI WA NGAZI ZA JUU KUTANGAZWA TAR.03/10/2014.HAWA NI BAADHI YA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE WAKIWA NA TABASAMU...Karibu kyela High School
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment